Manchester United (Red Devils) | Special Thread

moto wa epl kwa hizi top clubs sio poa kabisa,kazi inatakikana ifanyike..spurs first half tu keshampiga mtu 3 kavu..
 
Wakuu habarini za mchana..nimepata braking news kwamba LUKAKU "ameumia kidogo" wkt wa training kabla ya game so kuna-dought km atacheza lkn inategemea na majibu vipimo atakavyofanyiwa kama vitamruhusu kucheza ama la.

If that so..4G Itapungua aisee..naomba jamaa awepo ili azidi kukimbiza magoli epl..
Ggmu!! GGMU!!
 
 
Lukaku has arrived with the rest of the squad & is likely to start despite picking up a knock. [independent]
 
[HASHTAG]#WatfordFC[/HASHTAG] XI to face [HASHTAG]#WBA[/HASHTAG]: Gomes, Femenía, Mariappa, Kabasele, Holebas; Doucouré, Capoue; Carrillo, Cleverley, Richarlison; Deeney.
 
Nilitegemea angeanza Herrera

Ila poa tu.. [HASHTAG]#GGMUFC[/HASHTAG]
 
Hakuna cha ujuaji wala nini ...makocha wote duniani hawapo perfect 100%....ndio sababu hawachukui ubingwa kila msimu.

Kiukweli pamoja na mazuri yake yote,mourinho anazingua kwa Martial...

Mata sio yule tena,hatakiwi kuanza mbele ya Martial au Rashford.

Toka ligi ianze sijaona jipya lolote kutoka kwake,zaidi ya kutucheleweshea ushindi tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…