Sina uhakika kama 4G itaendelea lakini uhakika wa ushindi upo kwa sababu Soton watakua na tamaa ya kutushambulia sana hivyo itafanya mechi iwe ya mashambulizi kotekote tofauti na mechi ya Stoke City.Kuhusu Rashford kucheza second striker nafikiri Mourinho alifanya kwenye pre-season na walicheza vizuri tu.
NB:Sipendi kabisa Rashford akicheza pembeni....ni mzuri akicheza kati kama striker.