Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Rashford ni centre forward

Kawatumia salamu mnaomdiss huyu dogo sio mtu mzur akicheza kwenye namba yake dogo yule wa man city hawez kutia mguu
 
Fourth round na Swansea.
 

Attachments

  • IMG_20170921_001334.jpg
    IMG_20170921_001334.jpg
    50.2 KB · Views: 24
Rashford ni mzuri akicheza kwenye namba yake ya stricker lakini akitokea pembeni kuna vitu anafanyaga ambavyo vinamfanya aonekane sio mzuri kama chenga nyingi mpaka anapoteza mipira na kusababisha kuanza kuitafuta tena lakini akitulia mbele hatari huyo mtu ...

Mwendo wa 4G kazi kazi

Go [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]...
 
Back
Top Bottom