ruralofficer
JF-Expert Member
- Apr 4, 2014
- 2,499
- 3,636
Kama wao walivyohangaika kutufunga,unachukia kuipenda man utd na unataman kuichukia man utd.Naona jana mnahangaika kumfunga Basel kama mnamfunga juventus vile
Kumbuka fletcher na SAF watu walikuwa wanajiuliza vipi? pia vuta picha kidogo ji sung park vile vile mwanzoni watu walikuwa hawamuelewi babu kuhusu huyo three lungs mpaka baadae game zote zenye viungo wengi pinzani ji sung ilikuwa inamuhusu game hiyo.Fellaini hana damu ya kupendwa tu na mashabiki,ni kama sturridge na liverpool
Sent using Jamii Forums mobile app
Naona jana mnahangaika kumfunga Basel kama mnamfunga juventus vile
huyu jamaa apewe pesa nono tu kwa wiki aiseeeejana ilikuwa ni mechi ya 100 kwa david degea kuichezea Manchester United bila ya kuruhusu goli.
kama wewe ni mpenzi wa real madrid tafadhali hii video haikuhusu endelea kubaki na hali yako na msaada wetu mkubwa ni kukupatia fax machine