Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,553
- 63,058
Why Young amenzaa leo afu Valencia amekaa benchi?
Is this going to favour us?
Why Young amenzaa leo afu Valencia amekaa benchi?
Valencia achoki kwani mkuu?..alafu mbona young ni mbunifu tu uwanjani hasa kwenye krosi zenye macho..Why Young amenzaa leo afu Valencia amekaa benchi?
Is this going to favour us?
absolutely..!! ni kama hakuna mabadiliko vileWhy Young amenzaa leo afu Valencia amekaa benchi?
Is this going to favour us?
link itawekwa vuta subira. yenye sub links zaidi ya kumi andaa bando tu!!!!Mkuu kwetu kwa wale wa Mobdro tunaomba chanel itakayorusha please...!!! Ili tuangalie![]()
![]()
![]()
![]()
Naangalia comb ya defense pale nyuma mkuu.?Valencia achoki kwani mkuu?..alafu mbona young ni mbunifu tu uwanjani hasa kwenye krosi zenye macho..
Sent using Jamii Forums mobile app
anamatch vuzuri tu kumbuka pia alicheza gemu tuliyompiga chelsea na alicheza vizuri tu...pia anaweza jukumu la full back rightNaangalia comb ya defense pale nyuma mkuu.?
Will he match the pair?
Leo niko porini kabisa...
Link ni muhimu...
Cc kisu cha ngariba
@everlek
cute b
Nyagei
Rutashubanyuma
hii ya man uMkuu kwetu kwa wale wa Mobdro tunaomba chanel itakayorusha please...!!! Ili tuangalie![]()
![]()
![]()
![]()
Uefa ya matopeni ama? Hahaha