Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hii inaonyesha jinsi gani Manchester huwa wadhaifu wanapokutana na CHELSEA.

Sent using Jamii Forums mobile app


Mkiambiwa mpira mmeanza kuujua 2004 mnakataa mwenzio kaingia google kakop vitu bila kutumia akili kavileta ukiwa unashikilia rekodi ya kutwaa ndoo mara nyingi lazima uzifunge timu zote mara nyingi zunguka ligi zote yale miamba ya ndooo utaona hiyo kitu had huku bongo simba kapigwa sana tu na yanga


Nakushaur ingia google ujionee tena utulie utaipata fresh manchester alianza kuhangaika kuyapata matokeo darajani sio kumfunga chelsea hiyo ni baada ya kuja mourinho tulikuwa tunawafunga kwa tabu sana unaposikia manchester ni king wa england sio kwa bahat mbaya rekod zote anashikilia magoli mengi, kuzifunga timu zote epl mara nyingi makombe ya ndani ikiwa


Ikiwa chelsea kashuka daraja mara 5 alikuwa anamfungia wapi man united?


Mtaumbuka madogo.

CHELSEA V MANCHESTER UNITED IN ALL COMPETITIONS



Games played 176



Chelsea wins 51



Draws 53



United wins 72







HEAD TO HEAD IN THE LEAGUE AT MANCHESTER UNITED



Games played 74



Chelsea wins 19



Draws 26



United wins 29







BIGGEST LEAGUE WIN AT MAN UNITED FOR EACH TEAM



Man Utd 6-0 Chelsea - 26/12/1960



Man Utd 0-4 Chelsea - 24/08/1968
 
Nimepeleka kwenye thread yao wameishia kupivuka tu

Waliokutolea povu hawajui mkuu usipotoshe watu huwezi kumfunga mara nyingi manchester united huku unashikilia rekodi ya kushuka daraja mara 5. Timu yoyote inayoshuka daraja maana yake ni mbovu sasa jiulize mwenyewe chelsea alianza kuwa na rekod nzur nyumbani baada ya mourinho na hapo sio kwamba mlikuwa mnatufunga mfululizo hapana walau mlianza kuwa wagumu hilo ndo linajulikana kwamba united huwa anapata tabu kushinda darajani ila sio ulichokop google upo wrong
 
8d8960a1726633c72f58e892c1b2861e.jpg


Vijana mapema wameshakinukisha

Mv Jr
 
Back
Top Bottom