Official: Mourinho has confirmed Victor Lindelof will make his Old Trafford debut for United on Tuesday alongside Smalling.
Hahaa nomaaLiverpool imefungwa tano bila hakuna anayejali..
Chelsea alianza ligi kwa kubugizwa tatu hakuna aliyejali..
Arsenal alichabangwa nne bila kama amesimama, hakuna aliyejali..
MUFC kalazimishwa sare ugenini kuna watu wanafanya sherehe na kukesha huku wakicheza muziki..
Ninaposema timu nyingine hazina mashabiki bali zina wenye chuki na MUFC huwa namaanisha!
Man utd na Liverpool zimebaki kuwa timu za zilipendwa a.k.a wahenga.
Trust me simba ikifungwa au kushinda tanzania nzima itajua hadi shabiki wa majimaji.... Lakin Chelsea hata ashinde 10 bila, watakajua kuwa Chelsea kashinda ni mashabiki wa Chelsea tu.Chelsea alivofungwa na barnley dunia nzima ilirindimaa ...maana sio kwa zile kelele zenu, kila baya lilisemwa ..wachambuzi uchwara kama akina Shaffih na wengine waliongea kadri ya uwezo wao. Hata asiye shabiki wa mpira alijua Chelsea imefungwa ..mbaya zaid ni pale arsenal aliposhinda ile ngao ya hisani. ..apo ndo ilikuwa balaa
Sasa nyie kuna watu hata hawajui kama jana mmecheza..man ilishaporomoka siku nyingi sana haina tofauti na QPR au Reading fc.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana tuna pambana ili kuongeza idadi ya makombe ..wakati nyie mnapambana kujenga timu.Unapigania hadi tone la mwisho una makombe 6 vitu vingine mnavyoandika kidogo muwe mnafikiria sasa unapigania nini hapo?
Bora umesema ukweli.Aisee naona dalili mpaka Chrismass tutakuwa tumerudi nafasi ya sita.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna shida hapo. Wee soma unielewe...Mkuu unanichekesha sana mbona kama unapata shida wakati mashabiki nguli huwa wanasema machache tu
Pole sana mkuu naona unatumia nguvu nyingi kuzunguka kila jukwaa, karibu tena
Sasa ivi mmebaki na historia tu. Tumechukua makombe mengi kuliko timu nyingine. We are here for present and not past..hizo tunaziita zilipendwa...Diamond song
Sent using Jamii Forums mobile app
Ni kweli mkuu. Ila kuna mashabiki uchwara wanajiona bora kuliko wengine.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndo maana tuna pambana ili kuongeza idadi ya makombe ..wakati nyie mnapambana kujenga timu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Elewa nilivyoandika usikurupuke mkuu. Relax and go through my statement again utaelewa what I meant.....!!!!Hayo makombe mengi mmeyachulia wapi?
Elewa nilivyoandika usikurupuke mkuu. Relax and go through my statement again utaelewa what I meant.....!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Siwezi jibu kwasababu hujaelewa nilichoandika mkuu. Labda nikufafanulie Soma tena ukifuata mririko na quote za wengine naamini utaelewa nin nilichomaanishaJibu swali.
Siwezi jibu kwasababu hujaelewa nilichoandika mkuu. Labda nikufafanulie Soma tena ukifuata mririko na quote za wengine naamini utaelewa nin nilichomaanisha
Sent using Jamii Forums mobile app