Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wabovu tu nyie, taratibu mtaenda kwenye mtaa wenu ........... wenye nafasi zao nao washapanda.

Ajabu wana wanamakombe 6 hao wanaopanda wenye nafas zao sijui inakuaje sasa tena hayo 6 sio mfululizo kuna muda panakuwa pakavu
 
Leo neno lako limetimia mkuu... Mechi ijayo mnapigwa kabsa

Sent using Jamii Forums mobile app

Mnakabana hadi wenyewe tumetoa suluhu tu mnapambana hivyo je tungefungwa hii timu ina maadui balaa suluhu tu mnaona kama stoke kashinda daaaa manchester united timu kubwa epl chek mnavyohangaika.
 
Wajirekebishe ki vipi? Kwani mlipotandikwa na burnley nyie mlivimba kichwa na kujiona bora?
Na ndiyo maana nikasema kwenye Epl hakuna majigambo. Ukifunga Leo kesho utafungwa tu hakuna mwenye hati miliki wa kutofungwa. Ile kasi yenu ya 4 G imepungua kulikoni?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na ndiyo maana nikasema kwenye Epl hakuna majigambo. Ukifunga Leo kesho utafungwa tu hakuna mwenye hati miliki wa kutofungwa. Ile kasi yenu ya 4 G imepungua kulikoni?

Sent using Jamii Forums mobile app

Nani kafungwa? Mliposhinda goli nyingi msimu ulioisha ndo ulikuwa ushindi wenu had ligi mlimaliza hivyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…