lucky lefty
JF-Expert Member
- Feb 16, 2017
- 491
- 454
Leo pagumu
Mik ni mtaalam sana wa kutoa pasi ya mwisho, jamaa ni Fundi, Lukaku anamhitaji sana huyu Fundi.Hiv huyu mpakistan Henrik Anna assist ngap maana naona Kila mech anahusika
Sent using Jamii Forums mobile app
Imeshafanyika.Sub ya haraka inahitajika hapa Rashford kazidiwa
Muda si mrefu wanapokea la tatu.
Aaah. .nilikuwa nawakumbusha tu.Anahusika vipi huku sasa huyo morata ....???
Umekosea njia mkuu..sisi mambo ya morata hayatuhusu.
Ugiligili