Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Manchester United (Red Devils) | Special Thread

"I have said three [summer] transfer windows is what I need to have the team I want to have the team [that] I think can bring Manchester United to the top of English football and to close the gap to the top of European football again and I still think we need that third transfer window, but I'm not going to wait for the third transfer window to try to reach it,"

- Jose Mourinho
 
Hii Team imenikera sana kwa kusapoti Mashoga ... Mimi ni shabiki kindakiNdaki ila pumbavu sana Manchester united kwa kusapoti LGBT shenzi kabisa

Sent From My Nokia Ya Tochi
 
Attachments

  • 1504844716867.png
    1504844716867.png
    107.2 KB · Views: 34
Ulijuaje kama morata ni first target...? Binafsi nilisoma kwa sky sports LUKAKU ndo alikua target namba moja.
Angalia Man u walivyohangaika na Morata kabla ya kumsaini Lukaku,na angalia Chelsea walivohangaika na Lukaku kabla ya kumsaini Morata. Ni kwamba Man U first target alikuwa Morata hapo na Lukaku alikuwepo miongoni mwa first target pia ila akiwa ni plan B ya kumkosa Alvaro. Na ndio mana hata Mou mwenyewe alipoulizwa kwa Mara ya kwanza kwa nn alionekana kumuhitaji sana Morata mwanzoni kisha ikashindikana, akasema 'hilo swali muulize Florentino Perez na board ya Real Madrid japo siyo vizuri kuongelea mipango ya klabu zingine'

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii Team imenikera sana kwa kusapoti Mashoga ... Mimi ni shabiki kindakiNdaki ila pumbavu sana Manchester united kwa kusapoti LGBT shenzi kabisa

Sent From My Nokia Ya Tochi

Hili jambo limekera mashabiki wengi sana, watu wanataka timu ijitenge na haya mambo. Soka libakie kuwa soka na sio kuanza kuingiza haya mambo.
 
Angalia Man u walivyohangaika na Morata kabla ya kumsaini Lukaku,na angalia Chelsea walivohangaika na Lukaku kabla ya kumsaini Morata. Ni kwamba Man U first target alikuwa Morata hapo na Lukaku alikuwepo miongoni mwa first target pia ila akiwa ni plan B ya kumkosa Alvaro. Na ndio mana hata Mou mwenyewe alipoulizwa kwa Mara ya kwanza kwa nn alionekana kumuhitaji sana Morata mwanzoni kisha ikashindikana, akasema 'hilo swali muulize Florentino Perez na board ya Real Madrid japo siyo vizuri kuongelea mipango ya klabu zingine'

Sent using Jamii Forums mobile app

Morata na Perisic hawakusajiliwa kutokana na timu zao kuitaji kiasi kikubwa cha pesa.
 
Morata na Perisic hawakusajiliwa kutokana na timu zao kuitaji kiasi kikubwa cha pesa.
Yes,unadhani tungempata Morata Romelu tungemsajili? Ndo linapokuja suala la kwamba Alvaro alikuwa our first target. Na Perisic of course ni price imezngua pia ila mpaka Mou anaanza msimu bado alikuwa anaongelea suala la Wide player kwamba timu inamkosa winger ambaye ni aggressive na akasema ishu ya Perisic imeshindikana na akawapongeza Inter kwa kukaza kamba kwa mchezaji ambae wao inter walimuona ni muhimu sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Manchester United isupport vibwengu, mashoga au ISIS I don't give a damn...mahusiano yangu na Manchester yanaongozwa na mafanikio wanayopata uwanjani...funga all rivals beba vikombe leta furaha kitaani...
We unafikiri teamu ikisupport food programs South Sudan au ujenzi wa fly over kimara afu ikashuka daraja tutakua na amani kitaa...
 
Hii Team imenikera sana kwa kusapoti Mashoga ... Mimi ni shabiki kindakiNdaki ila pumbavu sana Manchester united kwa kusapoti LGBT shenzi kabisa

Sent From My Nokia Ya Tochi
Fifa, Uefa, na vyama vyote vya soka ulaya wanasupport hii campaign sio utd peke yake, Ulitegemea utd ijitoe ilhali ni timu ya uingereza ambapo hayo mambo ni ruhksa? Mimi pia binafsi sijapendezwa nayo ila napenda soka na naipenda utd,ngoja tusubiri hiyo kesho tuwapige tena hao stoke wiki iende kwa amani kidogo. GLORY GLORY MAN UTD.
 
Jose Mourinho 'disappointed' with Pereira decision but recall clause

It was a personal decision that I don’t agree with, a decision I don’t think honestly is the best decision for him, a decision that disappoints me.
He has the potential to be fighting for a position, opportunities and to be a Manchester United player.
His decision can be considered as a young player who wants to play every weekend but also a young player that is not ready to fight for something different and it’s different to play in Manchester United’s midfield.
You have to be ready to fight for the position and I am disappointed he left. But it was his decision. I open the door, he has a long-term contract. We have the option to bring him back on January 1, so is not a drama but it is a decision which disappoints me a little bit.
 
Hawa arsenal wanachekesha sana yaani katika timu ambazo ziko ovyo kwenye dirisha la usajili ni wao halafu jana wamepiga kura kukubali mfumo mpya wa kufunga dirisha la usajili. Kuishabikia arsenal unapaswa ukutanishwe na watu wasiojulikana angalau upate kuwapiga picha
 
  1. Tunacheza na stoke city nyumbani kwao na ni timu ambayo haijashuka daraja toka walipopanda,wana wachezaji warefu na wenye nguvu na ni ngumu sana kuwafunga nyumbani kwao.
  2. Hatupaswi kucheza kwa pressure na pia hatupaswi kuwa wazembe
  3. Hatupaswi kulinda na kushambulia kwa kushitukiza ni mwendo wa attack attack attack hata kama beki wao ni kurt zouma na shawcross.
  4. Hata kama wanatumia nguvu sana ila hatupaswi kuanzisha viungo 3 ili kukabiliana na viungo wao watano watakaowaanzisha kwani kufanya hivyo kasi ya ushambuliaji itapungua
  5. Tuna rekodi mbaya sana uwanjani kwao ila msimu nategemea tutaondoa jinamizi la matokeo mabovu katika uwanja wa britannia
  6. ni mechi ngumu sana kwa lukaku kwa sababu timu pinzani zinamlinda kwa walinzi wawili hivyo basi yoyote atakayeanza kesho kati ya rashford na martial upande wa kushoto ndiye ufunguo wa ushindi.
  7. Majirani zetu wote wanamtegemea stoke city awaokoe kwasababu kama stoke watapata draw tu basi majirani wataendelea kuamini ya kwamba timu yetu haijabadilika hivyo basi tunahitaji ushindi ambao utawafanya everton na timu nyenginezo wawe na kazi ya kuangalia video za manchester united tu wakiwa kwenye kambi za timu zao.
 
Press conference roundup

•Mourinho was disappointed with Pereira’s decision to go out on loan.

•He’s torn on the changes to the transfer window.

•He was happy with United’s transfer business this summer.

•Every member of the squad will have had a game before the end of the month as he plans to rotate.
 
ED Woodward huwa namuona ni mzito kwenye transfer,na saa zingine husababisha tukose first targets. MF. Safari hii perisic,morata

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ujumla Ed ni mzur sana...kwenye usajili kuna hela amabzo bodi huzipitisha , ss Ed anaponunua ni lazima azingatie kiwango alichopewa...ujue hela huwa zinaweza kuingia nyingi na kiulaini tu ila kutoka huwa n kazi pia.

Pia huwa kuna sera za club za ununuaji , sio tu kwasbabu unahela unakua unatoatoa.
 
Press conference roundup

•Mourinho was disappointed with Pereira’s decision to go out on loan.

•He’s torn on the changes to the transfer window.

•He was happy with United’s transfer business this summer.

•Every member of the squad will have had a game before the end of the month as he plans to rotate.
Kwenye mkataba wa Pereira wa mkopo kwenda Valencia nasikia kunakipengele cha kum recall from the loan anytime
 
Back
Top Bottom