SAVAGE AF
JF-Expert Member
- Feb 12, 2017
- 826
- 1,707
Na pia unakosea kusema Herrera anaelekea kusahaulika,tumecheza mechi tatu tu mkuu,kuna mechi lazima tutacheza na viungo wa 3 hiyo lazima ander acheze,vipi kuhusu sub au ikitokea majeruhi? Herrera katumika sana msimu uliopita na pia ndo raha ya kuwa na squad,mpinzani akiangalia benchi anaona,zlatan,martial,romero,herrera lazima akili ivurugike.Pia Asisahau Kuwa Mourinho hana sera za Kuendeleza/Kutengeneza Kipaji, bali hutumia aliyekwishakuwa na Kipaji...
Na amuulize Lukaku... That is why Kila Window ni Lazima aingie Sokoni na Chash Money...
Pereira anaanza sasa safari! But So sad for Herrera anayeelekea Kusahaulika..
Chelsea- Drink Water!