Bado tunamuhitaji sana perisic, hata kama sio perisic basi tupate natural winger, mechi ya jana imedhibitisha kwa maboko waliyokua wanatoa Valencia na blind.Mkuu kuna rashford na martial hawa wanatosha sna pia tuna madogo kwenye academy kama angel gomes anahitaj kupanda bado perreira kifupi wapo wengi kaliba yake.
Bado tunamuhitaji sana perisic, hata kama sio perisic basi tupate natural winger, mechi ya jana imedhibitisha kwa maboko waliyokua wanatoa Valencia na blind.
Rashford na martial sio natural winger, hawana uwezo wa kupiga cross, perisic bado tunamuhitaji sana
Hata Lukaku ni mzuri,ila jana haikuwa siku yake...
Umeongea point ya msingi sana mkuu,, huyo perisic kwanza umri unaelekea jioni, binafsi sioni kama kuna haja ya kusajili kwa sasa!!Nimeangalia hailaiti za OUSMANE BEMBELE, dogo anaonekana ni fundi sana, sijui kwa nini barcelona walikua wanang'ang'ania kwa coutinho, anastahili kununuliwa kwa ile hela kutokana na soko lilivo sasa, mou hakumuona yule dogo mpaka na yeye kung'ang'ana kwa perisic?
Sent using Jamii Forums mobile app
natural wingers wapi bhana,kwanza timu nyingi sasa hivi haziwatumii ..fullbacks ndo wanafanya hizo kazi kwenye mpira wa saivi..shaw akirudi najua atafanya mambo mengi sana... blind na valencia ni kweli wanapata chansi za kupiga krosi ila wanapiga mbaya...na sio kila timu utaifunga kwa kuwa na mawinga ambao ni natural...as long as timu inatengeneza nafasi nyingi basi amna tatizo kabisa..Bado tunamuhitaji sana perisic, hata kama sio perisic basi tupate natural winger, mechi ya jana imedhibitisha kwa maboko waliyokua wanatoa Valencia na blind.
Rashford na martial sio natural winger, hawana uwezo wa kupiga cross, perisic bado tunamuhitaji sana