Mkuu kuna muda unatakiwa nyumbani ushinde hata goli moja ila usitoe sale uwanja wa nyumbani hutakiw kukosa point 3 ugenini hata ukisaka point moja toka mwaka jana niliona kocha wetu alivyojitahud kurudisha heshima ya old traford sio mahali salama tena utaumia tu msimu ulioisha tulipoteza mech moja tu ya city.