Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Umesomeka mkuu.

Hii timu ni ya ishindi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Watu tuache ubinafsi na roho mbaya kuhusu Zlatan, kapiga goli ishirini na nane kati ya game 46 alizocheza...unaanza kuona kwamba huyu sio mchezaji mzuri ?

Kuna watu wanasema kuhusu wachezaji wadogo kukosa namba...mie nasema namba wakose tu ila timu kushinda ndio swala la muhimu mwaka huu.

Ata tu ukitumia akili huwezi wapanga wachezaji wote wacheze...bench lazima lihusike iwe zlatan yupo au hayupo...thats a fact.

Pia sio kila game ,inakuwa inawafiti wachezaji wote kuna game za uzoefu zaidi, na hapa ndipo umuhimu wa wazee unapokuja.

Mie namkaribisha sana mzee Ibra
 
Noma sanaa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukiondoa safari ndefu ya kwenda kuwavaa CSKA Moscow Benfica na Basle hakuna upinzani

Safari ya Moscow na baridi yake hukinzana na mahitaji ya EPL

Timu tutakazokutana nazo katika ligi zitatarajia uchovu utawainua lakini ukubwa na ubora wa kikosi utawashangaza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…