Guasa Ambonii
JF-Expert Member
- Aug 13, 2015
- 8,545
- 10,296
Hilo mimi pia nimeliona amekuwa mtulivu anaweka kila jambo mahala pake kipindi cha nyuma Jones alikuwa anatia shaka dizaini kama wes brown unajua kama sio kulambwa kadi basi atatoa boko na ukitizama tambo (umbo )analo zuri tu.Ilinibidi nianze kufatilia game mbili tulizocheza kwa makini kabisa hasa nikiangalia mienendo ya PHIL JONES ..jamaa amebadilika sana sasa ivi anakaza alafu roho mbaya ya mpira ishaanza kumuingia akiendelea hivi team itakua imara sana japo akirudi muhuni MARCUS ROJO ndo itakua burudani zaidi , tuko vizuri sioni vijana wa king power watatokea wapi
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Popote ulipo CUTE B pole na uchovu wa safari.
Mwendo wa 4G haka kasi tuAisee! Naona mpo on fire kinoma dah!!!
ANYWAY! Com on Chelsea
Nouma sana jamaaWeekend imepoa sana. Hadi kesho tena!!!! Ngoja nitafte mashetani wenzangu tukale ata Konyagi na Salad safiiii iliyotiwa siki.
Mou lile goli la nne wenzie wote wamesimama kushangilia yeye akawa anatafuta kitu nadhani kama chupa ya maji hana khabari kabisa kama sio yeye ilileta burdan
hahahahaa inafika wakati unatamani ligi ya uingereza iwe kama ligi ya ndondo wiki mechii mbili upate kumuona erick bailly (core i 7)Weekend imepoa sana. Hadi kesho tena!!!! Ngoja nitafte mashetani wenzangu tukale ata Konyagi na Salad safiiii iliyotiwa siki.
nilishatoa taarifa mapema kwa majirani wa manchester united kuhusu huyu mchawi kutoka Armenia.The magician
Sent from myself
Arsenal kitu cha pekee walichonacho ni asene Wenger tuArsenal hawanahaja ya kumuelewesha mtu, wenye macho wanaelewa kila kitu!
ok ok ok soon tatizo linakuja participants ni wadogo toka humu. hata hilo la whatsapp lina only 16 tu toka asubhCreat la Tellegram
Sabab linachukua watu wengi
Asante Sana mkuuIlinibidi nianze kufatilia game mbili tulizocheza kwa makini kabisa hasa nikiangalia mienendo ya PHIL JONES ..jamaa amebadilika sana sasa ivi anakaza alafu roho mbaya ya mpira ishaanza kumuingia akiendelea hivi team itakua imara sana japo akirudi muhuni MARCUS ROJO ndo itakua burudani zaidi , tuko vizuri sioni vijana wa king power watatokea wapi
[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Popote ulipo CUTE B pole na uchovu wa safari.
Wewe unamfunga west ham alafu unajitabiria ubingwaWakuu Tumheshimu Sana Rashford Huyu Dogo Ni Hatar Kumbukeni Anatokea Pembeni Huyu Ni Natural Striker Saiv Anaendelea Kuwekwa Sawa Nakumbuka Mech Za Europa Huyu Dogo Katuvusha Kwenye Mech Nyingi Tu Tuwe Na Subira Nakumbuka Hata Ronaldo Alikuwa Hiv Hiv Ila Simaanish Dogo Atakuwa Kama Ronaldo.
Wewe unafungwa na Burnley unajitabiria ubingwa mfunge kwanzA westham, Vipi kwema lakini hamorata kafunga Leo ?Wewe unamfunga west ham alafu unajitabiria ubingwa
Mfunge kwanza Tottenham. ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwema mkuu atafunga next week ...sasa Burnley uoni kama alibebwaa...Wewe unafungwa na Burnley unajitabiria ubingwa mfunge kwanzA westham, Vipi kwema lakini hamorata kafunga Leo ?
Sent From My Nokia Ya Tochi