Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mechi ya leo vs Swansea.. Nilichokiona:-
1.Lukaku anahitaji improvement cuz kipindi tumezidiwa alikuwa maekaa tu kule mbelehasogei ht kuja kusaidia,na kati ya pasi au dribbling alizofanya nyingi zilifeli although He's a DANGEROUS HITMAN akiwa mbele ya goli


2.Rashford apunguze kupania kufunga..Anapaswa kuwa na mentality ya TEAMWORK km aliyonayo MKITARYIAN nikimaanisha(rashford) sio kila sehemu anatakiwa kufunga yeye..anaweza mpa mtu aliye sehemu nzuri na tukapata matokeo..kwa kifupi AACHE "UMIMI"..He's a good player and peformed brilliantly..


3.Antony Martial na Fellaini/Hererra wanapaswa kuanza:cuz(martial) ni pure winger na yupo "on fire" then rashford na mata waingie kama sub kuja kusumbua pale katii..Kuhusu fellani/herrera kuanza: ni kwasababu ningependa kumwona PoGBA akipanda mbele(we all know how good he is akiwa mbele pale na kina mikitaryan)

4.Nasubiri kuona morinho akifanya ROTATION ya kikosi ili nione na wale jamaa wengine(wa kwenye benchi) wamekuja na moto kiasi gani msimi huu.

Otherwise so far everything is good..GGMU GGMU!!!!! GGMU!!!


Sent using Jamii Forums mobile app
 
De gea is saving
Bailly is defending
Matic is tackling
Pogba is bossing
Martial is dribling
Micky is passing
Lukaku is scoring
old traford is roaring
Red devils are flying
Gardiola is tentioning
Conte is going
Pochetinho is fearing
Manchester is gloring
I love [HASHTAG]#manunited[/HASHTAG]
GGMU


Sent using Jamii Forums mobile app
 
swansea ni timu dhaifu sana hata mbao fc wangewafunga......man u ana bahati ya kucheza na timu mbovu
Mkuu mbona sikuelewi!! Umesahau kwamba huu ni mzunguko na kila timu Itakutana mara mbili( home and away) ss unavyosema tunabahat ya kukutana na timu mbovu UNAMAANA GANI!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mchezaji ghali zaidi (Neymar) ni mweusi, na aliyekuwa akishikilia record kabla ya Neymar naye ni mweusi (Pogba)

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sema kuna watu wanamsema Rashford, mimi sio mmoja wao. Siwezi kumsifia/kumlaumu mtu au timu kwa mechi mbili.
 
Ndio raha ya ushindi maneno yanapangika tu kwa urahisi kama ingekuwa ile tia maji tia maji yetu wadhani hayo maneno yangekuwa yamepeperuka tu hewani kwanza mnakuwa watu wa kisirani tu. Kama upo home mwanao anakueleza matatizo ya shule unamwambia "kamwambie mourinho huko.
 
Ilinibidi nianze kufatilia game mbili tulizocheza kwa makini kabisa hasa nikiangalia mienendo ya PHIL JONES ..jamaa amebadilika sana sasa ivi anakaza alafu roho mbaya ya mpira ishaanza kumuingia akiendelea hivi team itakua imara sana japo akirudi muhuni MARCUS ROJO ndo itakua burudani zaidi , tuko vizuri sioni vijana wa king power watatokea wapi

[HASHTAG]#GGMU[/HASHTAG]
Popote ulipo CUTE B pole na uchovu wa safari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…