Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Hahahaha ama hakika unayo furaha isiyo kifaniWalibaaaanaaaaa weeeeee !!!!!
Mwishowe mapaja yalichokaaa....
Nani anajua kilichofuataaaa?????
Sent using Jamii Forums mobile app
Wale stoke msimu uloisha game zote tuligawana nao points huwa wanajijua wenyewe kushuka hawashuki kombe hawachukui basi tafrani tu.
Na tukimuogesha nyingi watakuja humu kusema ni timu ndogo!Tunakutana na Stoke City September 9th.
Kuna watu naona mnamsema vibaya Rashford, kuna kitu hamjataka kujipa mda na kukiangalia! Rashford yupo kwenye tight training chini ya Mourinho, anajengwa na kutengenezwa vizuri. Msilaumu eti anakuwa mchoyo no! Kuna kipindi tulisema rashford ni mchezaje anaefanya mazoezi ya kufunga nusu saa baada ya mazoezi na wenzake kumalizika, na ukiangalia anaonesha positive improvement akiendelea hivi na akajiamini soon atakuja kuwashangaza wengi sana. Rashford anapiga shoot za adabu hata kama hafungi, Mourinho sio mjinga akawa anamuanzisha pale anajua atakuja kuwa msaada sana baadae! Leo tushinde lakini pia tuwaandae vijana ili kesho pia tushinde. Halafu mourinho akimpiga bench najua mtaanza kulalamika humu oooh haamini vijana tutaanza kumsema kama kwa Fella ila saivi kila mtu kajificha! Tumuamini mwalimu wetu, tunae mwalimu bora sana kama kile kikosi cha msimu ulopita angepewa hata Zidane nawahakikishia tungeshuka nacho daraja!Hivi mechi moja ndio mnatoa hukumu kwa huyu 19yrs old? Hebu acheni ushabiki wa ajabu ajabu!
Mkuu ni mizuka tu kwa timu yetuKuna watu naona mnamsema vibaya Rashford, kuna kitu hamjataka kujipa mda na kukiangalia! Rashford yupo kwenye tight training chini ya Mourinho, anajengwa na kutengenezwa vizuri. Msilaumu eti anakuwa mchoyo no! Kuna kipindi tulisema rashford ni mchezaje anaefanya mazoezi ya kufunga nusu saa baada ya mazoezi na wenzake kumalizika, na ukiangalia anaonesha positive improvement akiendelea hivi na akajiamini soon atakuja kuwashangaza wengi sana. Rashford anapiga shoot za adabu hata kama hafungi, Mourinho sio mjinga akawa anamuanzisha pale anajua atakuja kuwa msaada sana baadae! Leo tushinde lakini pia tuwaandae vijana ili kesho pia tushinde. Halafu mourinho akimpiga bench najua mtaanza kulalamika humu oooh haamini vijana tutaanza kumsema kama kwa Fella ila saivi kila mtu kajificha! Tumuamini mwalimu wetu, tunae mwalimu bora sana kama kile kikosi cha msimu ulopita angepewa hata Zidane nawahakikishia tungeshuka nacho daraja!
Sent using Jamii Forums mobile app