Victor wa happy
JF-Expert Member
- Apr 24, 2013
- 11,660
- 11,663
Naona umejikaza kuja kwenye jukwaa la watu wa kaz but anyway asante kwa mchango wako na usisahau tutakutembelea DecemberManchester all of a sudden depends on a bunch of NIGGAZ from Afrika!!
Still mnawajua waafrika, asili haipotei, sijaona timu ya kuchukua ndoo ya EPL hapo! Ni kama ufaransa kutegemea 'waafrika' wao ktk timu ya taifa wachukue ndoo ya dunia.
Pumzi inakata vere suun!!
NOTE: Povu linaruhusiwa!!
Msifuni kwa sasa ila baadae msimtukane
Amekuja kujifariji hukuNenda ukajadili timu yenu, kesho mnaliwa kiboga tena.
Umenipa kazi ya kuireview tena hahahaha..register my appreciation....Ila ile assist ya micki kwa pogba alikua anaangalia kwengine pasi akapiga sehemu nyingine dah.... Kuna mkuu alisema humu labda wamkate miguu msimu huu.
Sent From Heaven
Binadamu huwa haachi asili yake.Broo unakaba mpaka kwenye kushangilia???[emoji23] [emoji23]
Sent from myself
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Binadamu huwa haachi asili yake.
Kazi ya awali ya lukaku pale mombiek, Belgium.
Kukaba.
Sent using Jamii Forums mobile app
No wonder mou alilalamika chicharito kuuzwa!katupia zote mbiliChicharito anawaka huko Sothon 2 WHU 2
Ka week end kanaenda vizuriMsimu huu Man Utd tunakula pweza gizani.
Mhudumu ongeza glass.
Haahaa.. Teh. Tutafutane Dec
Mimi nimeshasema DecIkifika december utasema tukutane april,nayo ikifika utasema mwakani!!! Ilimradi ujifariji tu
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16] mkuu Mikhy ni tabu aisee. Kwanza speed, alafu moves zake ni shidaIla ile assist ya micki kwa pogba alikua anaangalia kwengine pasi akapiga sehemu nyingine dah.... Kuna mkuu alisema humu labda wamkate miguu msimu huu.
Sent From Heaven
Mkuu kama ulikuwa nabii vile... Mule muleGame ya kawaida sana. Ushindi 2nd half upo wa goli nyingii tuu kama nne.