Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Wamecheza vizuri sana kipind cha pili baada ya swansea kuchange mfumo , maana mfumo wa mabeki watano pale nyuma ulikuwa mwiba kwa manchester , kilichowacost nikuchange mfumo
. Kocha wa Swansea atakuwa anajilaumu sana huko aliko
Anyway Glory glory to MUFC. Mwanzo mzuri tena unaoburudisha haswaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…