mashetani wekundu wanataka kutowa ml22 na john o'shea kwa arsenal ili wamasajili sami nasri
Kweli Nyani haoni ...... ...... ..... ..... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha hamjamaliza kubadili timu?
Kila siku mnapiga kelele tukiwachezesha akina Giggs na Rio mnasema timu imejaa wazee, tukisajili vijana mnasema tunabalisha timu sasa tufanye nini ili mfurahi?
Kweli Nyani haoni ...... ...... ..... ..... ... khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee chacha hamjamaliza kubadili timu?
Kocha kakosea kumuachia oshea. Hakuna kama yeye man u.
Simba oyeeee...
Sky Sports News wanasema kuna formal inquiry kutoka Man Utd kwa ajili ya Samir Nasri lakini hakuna formal bid.
Kila siku mnapiga kelele tukiwachezesha akina Giggs na Rio mnasema timu imejaa wazee, tukisajili vijana mnasema tunabalisha timu sasa tufanye nini ili mfurahi?
Nimemiss hii thread, lol!!..mambo yakianza, full mkesha!!..
we don't nid any of them!Wesley Sneijder ana miaka 27 35 mil at 150k a week 5 year deal jumla inakuwa 74mil hatutoweza kumuuza kwa bei nzuri at 32Samir Nasri 20m, 120k a week 5 year deal jumla inakuwa 51mil plus uwezekano wa kumuuza kwa faida mwisho wa contract upo. The way things stands uwezekano wa Sneijder kuja ni mkubwa kuliko Nasri.