mmecheza vizuri sana leo nitoe hongera kwa Chelsea kukosea kucheza karata yake na kuwauzia Matic lakini msijipime kupitia game ya leo kuna kitu kinaitwa consistency je mtaweza!?
Nimeongea hivyo simply because so far mpaka sasa kama yupo mwanasport wa kweli na si mnazi ataelewa
Pogba bado sana sikatai amefunga goli ndio lakini bado mnoo mpaka leo nimekua mgumu kumuelewa huyu jamaa anampila wa kitoto nasema kama angekua sio matic pogba msingeona alilofanya kazi ya matic ni kubwa kuliko huyu bank mwenyewe
All in all hongereni kwa matokeo mazuri looking foward to see your good perfomence game zijazo.
Sent using
Jamii Forums mobile app