cute b
Nimeona hapo juu unasema unataka "kujisogeza" kwa "LukaGoals"
Kwa niaba ya mashabiki wa Utd hapa JF ninakuomba batilisha uamuzi wako huo
Unakumbuka kipindi cha "Mrs Depay" ? ulisababisha kijana akawa "mtete" hata kupiga chenga akawa hawezi
Plz plz tuachie kwanza LukaGoals awatengeneze hawa wakaanga sumu wote watakaokatiza mbele yetu
Kwa kukusaidia ombi lako, tunakukabidhi kwa the one and only Kichuya, naye yupo available
Asante sana kwa kutuelewa kwa manufaa na timu yetu
GGMU