Mou athibitisha kwamba [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG] ipo kwenye mazungumzo ya kumrudisha Ibrahimovic kwenye kikosi , Mou ameyasema hayo leo alipokuwa akufanya mahojiano ya kuhusu mchezo wa ufunguzi utakaochezwa jumapili kati ya Manchester na Westham.
Maoni, Ibrahim bado anahitajika kikosini kwa maoni yangu...uzee dawa.