Mkuu mimi naona jana ndio ilikuwa kipimo kizuri cha kujipima na Madrid kama mna timu nzuri lakini kusema msubiri mpaka mcheze na West Ham jumapili hapo sidhani kama ni kipimo kizuri kwenu ingawa West Ham nao ni wazuri ila mechi ya jana ndio ilikuwa nzuri zaidi, mbali na hapo ngoja tuone timu zitakavyo perform.Man utd timu tunayo,Madrid sio timu ya mchezo.Uwepo wa modric,casemero na kroos bila kumsahau isco na ukilinganisha wamekaa mda mrefu pamoja,inakua ni vigumu kufungika.
Hiyo ni moja ya sababu imetamba Uefa kwa misimu 2 mfululizo.Juventus ilikua inasifika kwa beki imara lakini mwisho wa siku walipigwa 4.
Yote kwa yote Matic tumelamba dumeeee... Tukutane jpl ndio mtajua man tunatimu
Hahaaa nisiharibu jina gani.? Mbn niko sawaacha wivu, usiharibu jina.
Ila jamaa wana hatari.. Sasa uji wanakunywa kweli.?
Hahaaa.. Kauli za kishujaaTumekufa kiume,makosa yapo kIdogo ambayo yakifanyiwa kazi tutapiga sana mbwa huku EPL
wakaanga sumu nendeni kwenu sie tunajimudu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyie ndio mliokua mnakuja kutusumbua juzi na cute b, kwanza mpk kakimbiaMsiba wa kitajiri na pilau unapewa, nimegonga like kwa niaba ya Twin cute b
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwan nyie mnalia sa hizi.? Kuweni wapole dawa bado inapenya
Kwa iyo wewe unafurahia kushiriki tu.?Kelele za nini? Timu yako imewai kucheza Super Cup?
Sister hizi kauli za kujipa moyo. Anyways hongereni [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]asante mwaya, ila nafurahi kuona tumejitahidi hata kama tumefungwa ila tumepambana.
Hilo nalo ni povu.. Maneno hayabadilishi uhalisia wa mtu.. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]Wanasemaga washabiki wa man u wanamaneno sasa huo usemi umethihilika Leo maana kuna kundi kubwa la m23 limekuja humu lakini limepokea majibu MAGUMU kutoka kwa man u fans!
Kuna mmoja kamwambia mwenzake eti soon atakuwa DELICIOUS😀
GGMU
Good night to all man u supporters in this thread🙂
Hahahaaa.. Wameongea uhalisia wa kile kilichopoIt seems like tumeangalia Chanel moja😀
Nimewamind hawa watangazaji basis tuu
Hata Moratta atawaweka za kutosha. Kajiandaeni. [emoji13] [emoji13] [emoji13]Kwa beki hii tukikutana na Arsenal laccazete ataupia nyingi aisee...
Nimekutafuta wewe cjui hata ulikua wapi.? Eenhe vip nilikwambia wewe ni sawa na kuni ya akiba tu. Ulikua unanicheka mm nilipo ungua. Anyways tukutane EPL ili tupiage kelele kiusawa sawa