anaeamini Man U anashinda leo itabidi tumpime akili lazima atakuwa kichaa
naona unasuka ulimboMKuu njoo tuangalie wote hapa home, maana sitaenda kibanda umiza leo kuna watu wana midomo mibaya sana kule, so home alone njoo basi.
Wewe ni wa OT kwanza??MKuu njoo tuangalie wote hapa home, maana sitaenda kibanda umiza leo kuna watu wana midomo mibaya sana kule, so home alone njoo basi.
Unadhani Perisic ni bora kuliko bale? binafsi nimefurahi inter walivyokaa kumtoa!!ovyo kabisa mkuu hawa waingereza wanapenda sana kuwa overate wachezaji wao..hivi pesa ya Bale si ni bora iongezwe kwa Perisic tumdake..
Sent using Jamii Forums mobile app
tehe tehe na leo utatafta pa kutokea maana juzi ulikuja kucheza singeli nyumbani kwangu kwa fujo zote
Bale anamzidi perisic kwa hiyo?Unadhani Perisic ni bora kuliko bale? binafsi nimefurahi inter walivyokaa kumtoa!!
Ni vyema tukaacha kusajili msimu huu tuwatumie akina martial/rashford/mikytarian kama left wingers!! Tuwape nafasi hawa majamaa!!
Haha hahaha hahaha hahaha,Sio OT pekee, huwa nalala pale Carrington next to Mourinho's office.
If i was a coach today.my XI
de gea
valencia smallng jones blnd
herrera matic pogba
rashford lukaku martial
Sent using Jamii Forums mobile app
Wakuu samahanini nimekosea kutuma picha..nimejichanganya kwenye gallery..
3 5 2 I bet for this formationLeo Sijui Ander Atatembea Na Nani Nawaza Tu Kule Matic Mikh Mpe 10 Pogba,rashford,lukaku Na Martial Hawa Watu Wenye Effect Kwenye Mech Za Fainal Fellain Na Lingard Mata Je DE GEA NAMKOSA BAILLY GGMU.