Bloodstone
JF-Expert Member
- Feb 16, 2016
- 922
- 996
Tulibezwa sana na kuonekana tumelamba garasa kejeli zilikuwa nyingi sana mpaka watu wetu wa karibu sasa wastahmili tu bado mapema ila wengine wameanza kuikumbuka DCM yao mapema.Hahaaa hujafa hujaumbika siyo????
Sent from myself
Hah hah wewe jamaa nimecheka sanaHata mimi nimekuwa nikijiuliza sana morata ataiweza kweli EPl?? kwa beki kama lile la arsenal lilioingia kama sub ya majeruhi ya arsenal jitu limevimba kama gunia la viazi vya lushoto
Sent from myself
Bora yako ila mwenzio humu alikuwa haonekani kaibukia nyumba ya jirani khalafu hiyo style ya kufariji wafiwa haifai coz anaweza kufa mwingine inatosha rudini nyumbani basi.
Kaka jamani niliaga nilisema kipindi hicho mnisamehe kikiisha nitajaa tele n nikasema tutaonana August !!!Bora yako ila mwenzio humu alikuwa haonekani kaibukia nyumba ya jirani khalafu hiyo style ya kufariji wafiwa haifai coz anaweza kufa mwingine inatosha rudini nyumbani basi.
Amaaaaaaaaa kweeeeli naona harufu ya msimu mpya iyapooo...watu oyeeeeeeeGlory Glory Manchester United !!
All the best katika msimu huu ,msimu huu tukaingie katika utukufu mwingine,kama ni FA tunayo,Carling Nayo,Euro......
Eee Mungu msimu huu huu ni Premier tu na UEFA tu.....haki nimemiss ule utukufu haaaaaa!!! Those old good days baba!!!
Turudishie ile miaka iliyoliwa na fourth na fifths position,Baba nashukuru umesikia..... Twapokea Premier cup na UEFA cup in your almight name Amen....
Walahiiiiii!!!! nimelimisss hili li kapu la Premier na Uefa......
New Glory is coming up !!!!
GLORY GLORY MANCHESTER UNITED!!!!!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
Oyeeeeeeee New Glory is coming up!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!Amaaaaaaaaa kweeeeli naona harufu ya msimu mpya iyapooo...watu oyeeeeeee
Hata mimi nimekuwa nikijiuliza sana morata ataiweza kweli EPl?? kwa beki kama lile la arsenal lilioingia kama sub ya majeruhi ya arsenal jitu limevimba kama gunia la viazi vya lushoto
Sent from myself
Ha ha ha tumeachaBora yako ila mwenzio humu alikuwa haonekani kaibukia nyumba ya jirani khalafu hiyo style ya kufariji wafiwa haifai coz anaweza kufa mwingine inatosha rudini nyumbani basi.
karibu tena.
ah na kule mmeweza kuliamsha dude, basi jumanne kama kawaida hapa. naomba Mungu usingizi unipite mbali mana nalo ni janga kwangu.
Utaombewaaaa....ah na kule mmeweza kuliamsha dude, basi jumanne kama kawaida hapa. naomba Mungu usingizi unipite mbali mana nalo ni janga kwangu.
Morning to youGood morning Tanzania good morning MUFC SUPPOTERS
I hope, hutalala aisee. Tuangalie mechiah na kule mmeweza kuliamsha dude, basi jumanne kama kawaida hapa. naomba Mungu usingizi unipite mbali mana nalo ni janga kwangu.
Itakua mapema tu hahahaa na mimi ni muhanga wa usingiz lakinah na kule mmeweza kuliamsha dude, basi jumanne kama kawaida hapa. naomba Mungu usingizi unipite mbali mana nalo ni janga kwangu.
Mou hawezi kukubali mchezaji aje man u kama njia ya kwenda real madridLa Liga Chief claims that they would have no problem if Manchester United spent €222 on Neymar, because it is club money from it's own sources and not doping so would be no any FFP broken,means for PSG is not from club's football sources.
The question is why Manchester United didn't go for Neymar???
Sent using Jamii Forums mobile app
Naomba Mungu huyo siku tushinde maana everlenk alichofanya kwa majirani sijui.ah na kule mmeweza kuliamsha dude, basi jumanne kama kawaida hapa. naomba Mungu usingizi unipite mbali mana nalo ni janga kwangu.