Manchester United (Red Devils) | Special Thread

hahahaha hiyo sengeli najua itakuwa wimbo wa mwanaume machine, mana madogo sasa hivi wanakimbiza utadhani wamefunga machine miguuni.
Ha ha haha.
Kuna ule wa..
bia zangu umekunywa.
Nyama zangu ..sijui umekula..
Nauli zangu umechukua...
Haya naulizaaa...
Utatoa hutoi....utatoa hutoiii....

Kwa kweli natamani iwe kesho hata

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nimetoka kuangalia marudio ya mechi, si mchezo kwa kweli vijana wako juu sana.
Huo utimamu wao uendelee vivyo hivyo timu inaleta matumaini waqt ule enzi za SAF sio kwamba tulikuwa hatufungwi lakini unatoka umeridhika kuwa vijana wamepambana na game imekataa na sio hata mipango ya goli huioni itatokea wapi!
 
Binafsi inanikera nikiskia Martial awe included kwenye deal ya Perisic. Perisic wa kawaida kabisa. Mzeee kweli umbadilishe na Martial mtoto?

Hii kitu ikitokea basi nitajua viongozi wa Man ukichanganya na Manager hawafikirii mbali.Martial ni mchezaji wa kiwango cha juu sana tena bado kijana mdogooo.
 
Hii kitu ikitokea basi nitajua viongozi wa Man ukichanganya na Manager hawafikirii mbali.Martial ni mchezaji wa kiwango cha juu sana tena bado kijana mdogooo.

Juzi Mourinho kasema Martial haondoki OT. Kwa hiyo wakuu tuwe na amani. Jamaa yuko vizuri sana, sema mapenzi hayajawahi kumuacha mtu salama.
 
Juzi Mourinho kasema Martial haondoki OT. Kwa hiyo wakuu tuwe na amani. Jamaa yuko vizuri sana, sema mapenzi hayajawahi kumuacha mtu salama.
hakuna mwamba kwenye mapenzi. ila naona sasa ameshatulia .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…