Manchester United (Red Devils) | Special Thread

glazer inabidi mtuachie timu yetu inunuliwe na waarabu sasa....... rejea matusi ya PSG

sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
 
Kuna kitu hamjui jamani msimlaumu RUTA ule uzi ni zaidi ya cocain ukiingia kule lazma uwe addicted mimi ni mmoja wa walioshinda addiction ya ule uzi kwahiyo itamchukua muda bwana RUTA kurudi huku😀
Ninichokizungumza nadhani hata kisu cha ngariba ni shahidi.
 
Bwanaa tumalizie shughuliiiiiii tule vtu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mata hajawahi shindwa mfumo wa kocha yeyote duniani. Hapa raia wengi hawamzungumziii kabisa ila Mata anapokuwa uwanjani moyo wangu huwa unatulia sana na matokeo huwa yanabadilika muda wowote. Jamaa anapass za akili $190bn. So msimu huu jamaa akimtumia vema mbele ya Kong Lukaku ni balaaaaa. Martial dah yule dogooo,sema mapenzi tuu ila kijana mpira anaujua.
 
Kweli kabisa mkuu..umeongea facts..ila mou hao wote uliowataja naona msimu huu hawatakuwa kwenye first eleven yake..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Personally sioni kama kuna haja ya kusajili left wing kwa sasa yani sioni kabisa!! Uwepo martial/rashfod/miky unatosha kabisa!! martial jana kaonyesha kiwango sana jaman!!

Kuna Haja Mkuu Martial Na Rashford Bado Wadogo Sana Wanahitaj Kupewa Changamoto Na Kujifunza Perisic Ni Muhimu Sana Watu Wanapiga Kelele Umri Wake Pale Hatakiwi Tena Mtu Chini Ya Miaka 28 Ili Wakina Martial Wasije Kupotea
 
Lakini si akina miky wapo??

Uko sahihi mkuu ila kusema ni wadogo bado unakosea maana akina messi ...ronaldo...rooney... hata rashford mwaka jana walipewa nafasi na tukaona ujuzi wao!!

Bado sioni haja ya jamaa, maana tuna kiungo tayari kaja, beki yupo, na tuna lukaku!! nadhani tuache kwanza!! kama wakizingua ndio tuangalie dirisha lijalo!!
 
Kuna Haja Mkuu Martial Na Rashford Bado Wadogo Sana Wanahitaj Kupewa Changamoto Na Kujifunza Perisic Ni Muhimu Sana Watu Wanapiga Kelele Umri Wake Pale Hatakiwi Tena Mtu Chini Ya Miaka 28 Ili Wakina Martial Wasije Kupotea

Hapana kijana. Martial ni mtu mzima tena sana tuu kwenye soka. Katoka Monaco na goal kama 18 hivi. Kaja Man U akiwa bado hajazoea ligi kapga magoli kama 18 tena. Msimu ulioisha japohakuwa chaguo sana kapiga 4. Martial huwa haogopi beki ni kama Rashford tuu. Anavocheza ni kama De Lima anaifata beki ilipo. Anageuza kwa namna yoyote. Perisic umri mkubwa hafu chenga yake moja. Martial akipewa game mfululizo lazima akuue tuu. Ni kama Rashford on target 3 goal 1. Yaan pale hatutakiwi kutafta winger ingine. Wako wengi sana. Martial na Rashford big match zote pale EPL waliuua. Lingard yuko pale. Ndomaana Mou kaamua kulizika na usajili wa watatu kwanza. Martial uku Rashford kule Lukaku uko Miki/Mata hapo waraiiiiiii ni ushindii tuuu.
 
Yaah! uhali gani bibie?cute b tunae humu ila weye ulijichimbia sana umekuwa adimu humu.
nipo aiseee, kwasas sionekani sana ila nipo ligi ikianza ndiyo nitakuwepo zaidi. afadhali cute b karudi mana nae akifichwa anafichwa haswaaa.

mrembo mwingine shabiki damu wa Man Utd nae kapotea, sijui anamsaidia Mou kwenye mambo ya usajili.
 
Yule kweli kitambo itabidi atafutwe aje tujumuike msimu utakuwa mzuri sana kwetu huu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…