Martial hawezi kuuzwa. Condition iliowekwa na Inter Milan ni kwamba kama Manchester Utd inamtaka Perisic basi watoe €50mil + Martial kwa mkopo wa msimu mmoja au kama hawataki kumtoa Martial basi walipe full €55mil.
Najaribu kulinganisha kiwango cha martial kwa sasa na umri wake naona ni asset kubwa barazani kwetu OT..huyu perisic ndiyo ni mzuri ila umri umeenda kidogo kulinganisha na martial