Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mkuu nashukuru kwa uchambuz wako mahiri.. nami nakubaliana nawe hapo kwa man city, naona mwarabu anataka kombe msimu huu

What goes around always comes around
 
Tupo kwny competitions nyingi mkuu..tunahitaji kikosi kipana ila "player rotation" ifanyike vizuri na wachezaji wengine waweze kupumzishwa ili kuwa na stability ya kutosha.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wakuu nashindwa nieleze nini but nashukuruni sana tena sana for the love!

Mkuu ipatama much respect to you brother, nimeona upendo wako kaka!

Ni kweli jana mida ya saa 11 jioni nadhani ni siku ambayo sitokaa niisahau kirahisi maishani mwangu, my little angel, my only son J uhai wake ulikatishwa na pikipiki, it's so painfull guys, ni hali ambayo hadi dakika hii still siamini kama kweli.

Shukrani kwa fans wote wa Manchester na soka kiujumla, kuna walionitumia meseji na kuna walionipigia simu kunifariji mungu awabariki.

My boy was six years old akisoma darasa la kwanza leo ndio tumempeleka kwenye nyumba yake ya milele so painful.

He was too young to die.
 
Oh my God pole sana brother.
My condolences to you and your family
 
Pole sana kaka,
 
Pole bro

Sent using Jamii Forums mobile app
 
pole Sana kaka Mungu akupe uvumilivu katika kipindi hiki kigumu
 
Pole sana mkuu!
 
pole sana mkuu
 

Pole sana mkuu. Mwenyezi Mungu akupe nguvu ya kustahimili mapito haya.
 
Natambua maumivu uliyonayo pole sana mkuu.

Mungu akutie nguvu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…