Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Kipindi cha mapumziko, Woodward na Pérez walibadilishana 'gifts'. Wakati Pérez akitoa jezi ya Real Madrid iliosainiwa na wachezaji pamoja badge ya timu, bwana Woodward yeye alimpa 'silver plaque' ikiwa na tarehe ya mchezo.

Smile la Woodward linafurahisha sana

Naomba sana Mourinho ampe sana nafasi huyu dogo Perreira..maana ni fundi ana pasi za macho halafu bado mdogo...lakini sio huyu fellain hamna kitu mule...
kipindi cha pili cha pili pale tumepoteana kweli.
Pereira yuki vizuri sana huyo dogo. Ila sio kila tukihisi timu imecheza ovyo basi tunamuangishia zigo Fellain
 
Pereira yuki vizuri sana huyo dogo. Ila sio kila tukihisi timu imecheza ovyo basi tunamuangishia zigo Fellain
Big fella ana damu ya kunguni tu jamani lakini huwa anafanya kazi yake uzuri mou sio mjinga kumng'ang'ania hata mimi nauona umuhimu wake kisha jana nimemuona kama kasi imeongezeka vile
 
Big fella ana damu ya kunguni tu jamani lakini huwa anafanya kazi yake uzuri mou sio mjinga kumng'ang'ania hata mimi nauona umuhimu wake kisha jana nimemuona kama kasi imeongezeka vile
Kuna watu wanaishi kwa kukalili,huyo jamaa anayesema Fellain alizingua ukimuuliza alizignua wapi hatokupa jibu sahihi. Fellain anapiga mwingi na anajituma sana,ila tatizo mistake zake zinaonekana sana kuliko za wengine. Yani akizngua Fellain hakuna anayemezea,kila mtu lazima aongee.
 
Nakubaliana na wewe katika hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…