Can't wait aisee league ianze sasa.. Ila tungempata winga mmoja Mwenye nguvu atakayekuwa anafanya backup plan kurudi nyuma na kupandisha mashambuli alafu awe na pass accurate kikosi kitarotate vizuri sana.Kwanini asivunje wakati ana lundo la wachezaji wa kumlisha mipira?
Yeye kazi yake ni kusukumizia golini.
Hiakuwa mechi ndio maana mmewafunga tofauti na hapo mngeoga sana tu
Ugua poleHiakuwa mechi ndio maana mmewafunga tofauti na hapo mngeoga sana tu
nenda kabeti acha uboyaHiakuwa mechi ndio maana mmewafunga tofauti na hapo mngeoga sana tu
nenda kabeti acha uboya
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Na hata leo ulibet kuwa tungefungwa ila umeliwa sababu tumeshindaHata iweje siwezi ibetia man u maana haitabiriki
Ivi mkuu ninani ka assist pale???Lukagoal lile bao mjingamjinga hafungi kwanza ile battle ya kukutana na kipa akapiga kichwa kisha kujikunja vile hivyo vitu ndio tuliopungukiwa ukijumlisha na volley za Pogba zimepata mkunaji basi ni burdan kwetu.
sijabet muda mrefuNa hata leo ulibet kuwa tungefungwa ila umeliwa sababu tumeshinda
With world sign record, you finish at 6th !And that is their record signing yet still expects to win EPL next season!
Mikhi
Hii ni ishara kuwa tuko on fire msimu huu!kuna fans wengine wanadai pogba na hereirra ndo wako kwenye peak formNaona man utd fansa wanawasifia sana lukaku rushford .....ila jaman mmesahau hawa wawili Micki na lingard ....kwenye pre season wame onesha kiwango kikubwa sana ......
Kweli kabisa
Kweli mkuu,dogo huwa anauwezo wa kudrible kwa kasi mpira kwa umakini kuliko mchezaji mwingine,ukimwacha mikhi..sema watu huwa wakimchukia mtu huwezi kulazimisha wamwelewe..ila my side jesse anadeserve kupata nafasi..Wakuu Lingard naanza kumuelewa dogo ni hatari mourinho aachane na perisic ampe dogo nafasi ya kucheza