Maganga Mkweli
JF-Expert Member
- Jul 14, 2009
- 2,089
- 829
That is for the Champs hakuna looser aliyepewa medal. Kama loosers wangekuwa wanapewa medal basi Fabregas, Gerald, Lampard and their Cos. wangevalishwa leo
hahaa sio katavi rangers
...Vipi, mmeukimbia msiba wenu? he he...sisi ni waombolezaji tu,
hata mki 'myuti,' ukweli utabakia ukweli hapa pana msiba!
..., hebu rudini hapa tuendeleze matanga! he he...heh!
Wacha1 weka picha bana, Ab-titchaz labda anawaonea haya wafiwa! he hehe h!
There's nothing like losing champs, the second best always collects loser's medal. Nakubaliana na wewe kwamba Manure sio LOOSERS, lakini ni LOSERS!....LOSER and not LOOSER as you put it! Once again, you got a LOSER'S MEDAL, I repeat, LOSER'S MEDAL....and yes, hao uliowataja wanaweza kuwa "LOOSERS" lakini wewe na Manure ni LOSERS.
We unataka watu wakae matanga mwezi mzima? Msiba ushapita kinachofuata ni kazi na kupanga yajayo by the way kwa kuwa unakotoka kuna njaa (Trophless) kaa tu hapa tutakulisha for all days that u will be here.
duuuh asavali, asanteeee!...naweza kurithi mali za marehemu? mf; Picha za magoli? heh hehe!
Unapenda vya urithi wewe?
Naomba kuuliza hivi baada ya kuuangalia mpira jana, MaNU waliwezaje kushinda EPL? Maana jana walipelekwa shule an udhaifu wao pale midfield na front line ulikuwa mkubwa mno.
Je ni kuwa Chelsea, Arsenal, ManCity, Liverpool na hata Evarton na Totte walikuwa na subpar season au EPL na misifa yote haina ladha bali mpira mabutuabutua?
In 10 or 15 first minutes, Barca walikuwa na 111 passes completed na ratio could have been almost 95%+ accuracy...this is scary!