Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Tunamhitaji perisic aimarishe ushambuliaji kama shida ni umri mbona hata zlatan anao..????
 
Ivan Perisic has arrived this morning at Inter's training centre & is ‘a step away’ from a Manchester United transfer. [premium sport]
 
perreira mtulivu sana huyu kijana,mi ningependa apewe nafasi.Jones na smalling sijui ni kwa nini wapo united kwa kweli..

Sent using Jamii Forums mobile app
Sheria inasemaje kwa wazawa? Ile ni timu ya england, mnataka wabakie wageni watupu?


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kweli nyie watu ni losers yaani mnafurahia kuifunga Salt Lake goli 1 tofauti

Na msimu huu hambebi chohote
 
Hali ni Gani humu? Wazee wa SITA, MancheSITA, naona jembe Jipya tulilolikataa Darajani limeanza kuonyesha makeke yake
Hongereni kwa stiker Lukaku
 
Hali ni Gani humu? Wazee wa SITA, MancheSITA, naona jembe Jipya tulilolikataa Darajani limeanza kuonyesha makeke yake
Hongereni kwa stiker Lukaku
Hamjalikataa Bali limewakataa nyinyi maana ofa tuliyopeleka na nyinyi ni sawa so usijipe credit eti mlimkataa na wakati alowakataa nyinyi
 
Hamjalikataa Bali limewakataa nyinyi maana ofa tuliyopeleka na nyinyi ni sawa so usijipe credit eti mlimkataa na wakati alowakataa nyinyi

Huyo hajaikataa Chelsea na alikiwa anaitaka sana, kwenda Man hiyo ni michezo ya kijinga ya Mou, akisikia makocha wa uhakika wanamtaka fulani yeye bila kuwa na mpango anatumbukiza pesa ili kuikomoa timu iliyokuwa inamuhitaji mchezaji husika, Everton inahitaji pesa so Mou alifika dau la kutakata na wakawa hawana jinsi
Mou alikuwa Darajani tunamjua, na yeye ndiye aliyemwacha Mata na huyo Lukaku, leo anawaona lulu? Kwa usajili wa kijinga wa kushindana bila kuwa na strategy ya aina ya mchezo na wachezaji unaowahitaji ataishia tena nafasi ya msimu uliopita
 
Lukaku aligoma kwenda chelsea full stop. Wote tuliweka dau sawa akachagua timu kubwa uingereza,yenye mashabiki wazuri na kiwanja kizuri sio maneno yangu ni ya Lukaku mwenyewe. Iwe ni michezo ya kijinga ya Mou au la uamuzi wa mwisho alikua nao Lukaku.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…