Ndoto bado zipo sema hawezi kuweka wazi. Unakumbuka mwaka juzi alikaribia kuhama ila documentation zikachelewa mpaka deadline ikapita akabaki na kuongeza mkataba. Sasa nahisi ipo siku ataondoka tu. Labda timu yetu ifanye vizuri kwenye UEFA anaweza kubadilisha mawazo.Bado ana hizo ndoto bado za kwenda Madrid kumbe.
Kwani amesign mkataba mpya.? Au mkataba wake bado unaendelea??
Post sent using JamiiForums mobile app
Nakumbuka mkuu alichelewa hadi usajili ukafungwa.Ndoto bado zipo sema hawezi kuweka wazi. Unakumbuka mwaka juzi alikaribia kuhama ila documentation zikachelewa mpaka deadline ikapita akabaki na kuongeza mkataba. Sasa nahisi ipo siku ataondoka tu. Labda timu yetu ifanye vizuri kwenye UEFA anaweza kubadilisha mawazo.
Inategemea na Dau na maslahi yake binafsi,kama watafika dau linalotakiwa na Man U basi hamna namna ataruhusiwa tu akajiunge nao,kama ilivyo kwa Cristiano Ronaldo hatukupenda kuumuza lakini kwa pesa iliyotolewa hakukuwa na jinsi.Vizuri. Amesign mkataba mrefu hadi 2021...ila De Gea si hatoondoka mkuu?
Post sent using JamiiForums mobile app
Inategemea na Dau na maslahi yake binafsi,kama watafika dau linalotakiwa na Man U basi hamna namna ataruhusiwa tu akajiunge nao,kama ilivyo kwa Cristiano Ronaldo hatukupenda kuumuza lakini kwa pesa iliyotolewa hakukuwa na jinsi.
Lakini sioni hili likitokea kwa De Gea,moja sioni shida ya nafasi ya Golikipa kwa Real Madrid.
Mbili uhasama ulioanza kujitikeza baina ya Man U na Real Madrid kwa sababu za kibiashara na faida inayozalishwa katika club hizi Mbili.
Madrid hawakutaka kuwauzia Man U washambuliaji wake wawili Morrata na Rodriguez wakihofia kuimarisha Man U msimu ujao na kuweza kuja wapinzani katika Uefa champion Ligue msimu ujao, hii kutokana na Uwepo wa kocha mwenye uzoefu na uwezo pamoja na mafanikio yaliyopatikana msimu uliopita.
So Man U nao kutokuwa tayari kuwauzia Rea Madrid mchezaji wao.
Huu uhasama unaweza kuja kuwa kama wa Man U na Liverpool.
So Man United namba 1 Golikipa still ni David de Gea.
Tunamuhutaji sana next season mana tunahitaji kurejesha heshima Yetu.
Lakini Kitendo cha kuongezewa mkataba Romeo na mshahara pia ni maandalizi endapo litatokea hilo nililolieleza hapo juu kwa De Gea kwa Madrid,mfano wakatoa 60mio Us.
Tukumbuke kazi ya Romeo msimu uliopita na kuwezesha kushinda Kombe la EUROPA Ligue.
So lazima tuwe na uhakika na Golikipa katika hizi harakati.
Post sent using JamiiForums mobile app
Yeah, akitaka kuondoka hamna haja ya kumbania maana atakua anadaka kwa kujilazimisha.Nakumbuka mkuu alichelewa hadi usajili ukafungwa.
Akiondoka sawa tuu hamna namna
Post sent using JamiiForums mobile app
nimeweka mb500 nikacheki game kupitia iyo app aiseee dk85 tu bando limeisha..... huu ni wizi wa karne😀😀😀😀 hapa mobdro iko inatafuna bundle langu maana azam washazingua
mitandao ndio wezi hapo nyuma mb300 unaangalia game full ila kwa sasa haitoshimobdro wanatafuna sana bundle...ila hakuna namna ngoja nisubiri na kipindi cha pili
Post sent using JamiiForums mobile app
Kwakweli hii mitandao yetu hii imekubuhu kwa garama za vifurushinimeweka mb500 nikacheki game kupitia iyo app aiseee dk85 tu bando limeisha..... huu ni wizi wa karne
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
Huyu kiumbe kombe hili la ulaya alilitendea haki huwa sina wasiwasi naeBreaking: Sergio Romero signs new contract with Manchester United.
De gea asipopogwa bei mwakani(asiposign) kuna dalili za kumwachia bureHuyu kiumbe kombe hili la ulaya alilitendea haki huwa sina wasiwasi nae
De gea asipopangwa bei mwakani(asiposign) kuna dalili za kumwachia bure
Post sent using JamiiForums mobile app
De gea asipopigwa bei mwakani(asiposign) kuna dalili za kumwachia bure
Post sent using JamiiForums mobile app
Anampa changamoto,Rooney: "Manchester United are a football club that demands success. Romelu Lukaku has to be strong enough to take up that challenge." [HASHTAG]#MUFC[/HASHTAG]
VIP Rooney anamtisha lukaku au ndiyo changamoto zenyewe
De Gea hawezi kugomea kusign mkataba mpya na wala hawezi kuforce kuuzwa.De gea asipopogwa bei mwakani(asiposign) kuna dalili za kumwachia bure
Post sent using JamiiForums mobile app
Huyu dogo namuelewa sana.Mourinho anapaswa kumpa nafasi Andreas Pereira msimu huu
nimeweka mb500 nikacheki game kupitia iyo app aiseee dk85 tu bando limeisha..... huu ni wizi wa karne
sent from my iphone 7 nimeinunua SAPNA pale POSTA
ni tigo hao huko halotel kipindi kie mb300 nacheki full mechi..... iyo ya voda ni wizi wa karneMb500 umecheki mpaka dakika ya 85,unatumia halotel? Nimeweka GB 1 Voda nikangalia mpaka dakika ya 60 mb zikakata.
Mechi zinaoneshwa MUTV lakini ni online mkuu kwa subscription fee ya USD 1.99 kwa mwezi. Tofauti na hapo kuna links mbalimbali huwa zinawekwa na wadau hapa unaweza kujaribu.WAKUU KWA GAME ZA PRE SEASON AZAM TV AWALUSHE ILE CHANNEL YA MUFTV
Sent from my G7-L01 using JamiiForums mobile app