Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,133
- 48,851
Kawaida sana hiyo. Palipo na watu wengi tabia hazifanani. Ni sawa na mazoezini leo pale UCLA Martial na Lingard walivyotaka kuziwasha.
Uwajui waingereza ww ....sio kwamba hauzwi ila wanataka uende wakwambie paundi 65 mil
Hivi walikua wanataka kupigana?
Ndio. Asingekuwa Lukaku pale Lingard alitaka kupanda juu. Ujue Martial alimpiga na kidude flani hivi dogo Akamaindi Martial alivoa nae akamfata kumkumbatia kama fair tuseme bt akambusu shavuni.
Nadhani unamfahamu Ngolo Kante vizuri.Hii klabu mbovu inafundishwa na kocha aliyekufanya uishabikie Chelsea
Matic hawezi cheza kwenye timu mbovu kama man nyumbu.Matic anafaa kuliko dier.... Matic mpira wa kibabe anao na ndo MO anapenda alaf toru .......dier yupo vizuri lakini bora Matic ata kama ana 28 umri still kwa namba yake uwanjani anaweza kucheza misimu mitatu
Huku hakuna wanaume. .kama wapo basi ni wa dartoka kwenye jukwaa la wanaume wewe..
Post sent using JamiiForums mobile app
Kilaza ni mourinho anaetegemea akili za Geneous CONTE.Mkuu belo usibishane na vi.la.za
Post sent using JamiiForums mobile app
Yes, kukaa bench sio hoja, hoja ni nani anamueka bench, hata kama ni yeye unadhani angemueka bench wanyama? Yote kwa yote dier yuko vizuriMbona tulimfata Alvaro na anakaa bench? Dier bado mdogo 23yrs na kiwango alichonacho kinatosha kuja kuwa mrithi wa Carrick. Mtizame vizuri.
saa kumi na moja asubuhi keshoGAME SAA NGAPI
Duuuuuh shukrani mkuusaa kumi na moja asubuhi kesho
Post sent using JamiiForums mobile app
Saa kumi na moja asubuhi mubashara bila nongwa MUTVkesho asubuhi natamani ifike nione tumeiva kiasi gani..
Sent from my SM-J200H using JamiiForums mobile app
Mi nilikuwa naona kama wanatania tu sidhani kama walikuwa seriousHivi walikua wanataka kupigana?
Mi nilikuwa naona kama wanatania tu sidhani kama walikuwa serious
Nimeona tena akitaniana na kipa namba 3..nadhami ni utani tu!Mi nilikuwa naona kama wanatania tu sidhani kama walikuwa serious
Hapana aisee, haukua ugomvi ule. Maana hadi official Twitter page ya manutd imerusha ile clip. Ingekua ugomvi wasingerusha.Ndio. Asingekuwa Lukaku pale Lingard alitaka kupanda juu. Ujue Martial alimpiga na kidude flani hivi dogo Akamaindi Martial alivoa nae akamfata kumkumbatia kama fair tuseme bt akambusu shavuni.
Google "firstrow.com"...jamani mwenye link itakayoonyesha mpira wa kesho asubuhi naomba anisaidie hapa