Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nemanja Matic hawezi ziba pengo la Carrick. Carrick mtu tofauti sana pale. Sii tuu kukaba kuintercept bali pasi zake zile za mafichoni. Mtu ambaye tukimpata itakuwa burudani pale ni Eric Dier. Dogo yuko vizuri sana.

Eric Dier anae ozea benchi kwa kukosa namba mbele ya Wanyama? Wekeni mahaba pembeni mnapoangalia wachezaji.
 
Mbona tulimfata Alvaro na anakaa bench? Dier bado mdogo 23yrs na kiwango alichonacho kinatosha kuja kuwa mrithi wa Carrick. Mtizame vizuri.

Angalia data za Morata halafu ndio utajua ni kwanini alifatwa. Uyo Dier ambae hawezi kupata namba hapo Spurs ndio unataka aje kuwa namba 6 wetu? Weka mahaba pembeni kijana.
 
Angalia data za Morata halafu ndio utajua ni kwanini alifatwa. Uyo Dier ambae hawezi kupata namba hapo Spurs ndio unataka aje kuwa namba 6 wetu? Weka mahaba pembeni kijana.

Ishu hapa unataka mtu aliye first eleven au mtu fundi? Data za morata hazijafika kabisa kwa Lukaku. Huoni ata Chelsea FC wameogopa kumfata?! Unazani ni kwann Dier wanadai is not for sale.
 
Ishu hapa unataka mtu aliye first eleven au mtu fundi? Data za morata hazijafika kabisa kwa Lukaku. Huoni ata Chelsea FC wameogopa kumfata?! Unazani ni kwann Dier wanadai is not for sale.

Tatizo la Morata ni bei yake,hizo ni habari za kwenye magazeti tu kama wamemuuza Walkee unadhani watashindwa kumuuza Dier? Tatizo ni bei atakayouzwa ni tofauti na uwezo wake.
Anatakiwa mchezaji mwenye uwezo,Matic,Fabinho wanaweza kucheza namba 6 bila shida yoyote.
 
Matic aged. Fabinho ligi ya uingereza atahitaji azoee kidogo bt Dier tayari anaijua ligi. Hebu cheki hapo chini uone angecheza game nyingi dier ingekuwaje?
 
Dier bonge la mchezaji

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Ishu hapa unataka mtu aliye first eleven au mtu fundi? Data za morata hazijafika kabisa kwa Lukaku. Huoni ata Chelsea FC wameogopa kumfata?! Unazani ni kwann Dier wanadai is not for sale.
Uwajui waingereza ww ....sio kwamba hauzwi ila wanataka uende wakwambie paundi 65 mil
 
Matic anafaa kuliko dier.... Matic mpira wa kibabe anao na ndo MO anapenda alaf toru .......dier yupo vizuri lakini bora Matic ata kama ana 28 umri still kwa namba yake uwanjani anaweza kucheza misimu mitatu
 
Uwajui waingereza ww ....sio kwamba hauzwi ila wanataka uende wakwambie paundi 65 mil

White Hart Lane muda wote hununua kwa bei poa na uuza kwa bei juu maana wanawafua. Na skauti wao wako vema sana. Bt Dier ni bonge la Raia. Bonge la DM. Linapiga multiple positions. Tukimpata huyo naimani kabisa EPL hii hapa.
 
Matic labda mumchore chini. .alafu mumbanduee
kwa kiwango chake hawezi cheza klabu mbovu kama man.

Sent from my SM-G531H using JamiiForums mobile app
toka kwenye jukwaa la wanaume wewe..

Post sent using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…