Kuna clip moja hivi alipewa pasi sasa ile first touch ikawa na mushkeli kidogo. Hivyo ni vitu vya kawaida sana vinatokea kila siku na kila mechi. Sasa bora hiyo, maana jana kuna mchezaji mpya (Hernandez) alikua anatambulishwa Santiago Bernabeu akapewa mpira aoneshe mbwembwe pale danadana zikagoma.
Ni kawaida jamani