Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Hivi baada ya kumsajiri lukaku ndio mchakato wa usajiri umefikia mwisho.

Au viwanda vya kuzalisha udaku vimekuwa disappointed na usiri wa kupitiliza kwenye issue ya Lukaku.

Najua bado wachezaji wawili so why aren't the rumors flowing???
 
Kumbe mpaka mwezi may 2013 SAF alikuepo? Kama ni hivo unavosema kwamba kama angekuepo SAF angemuuza tokea 2013, si angemuuza january ya mwaka huo 2013 kwenye dirisha la usajili?
 
Kumbe mpaka mwezi may 2013 SAF alikuepo? Kama ni hivo unavosema kwamba kama angekuepo SAF angemuuza tokea 2013, si angemuuza january ya mwaka huo 2013 kwenye dirisha la usajili?
Rooney alianza kupigwa benchi msimu wa 2012-2013 alivyosajiliwa RVP,alivyokuwa Arsenal RVP alikuwa spana mkononi hatukutegemea kama angemaliza msimu bila kuumia but alicheza msimu mzima na ndio alikuwa na mchango mkubwa sana kwenye ub ingwa wa 20 alikuwa top scorer na alifunga magoli muhimu hakutegemea kama SAF angestaafu baada ya ule msimu

Enzi za SAF hakuna timu iliyopeleka officially bid kutaka kumnunua Wazza ingawa huko nyuma yeye alishawahi kuomba auzwe.Baada ya SAF kuondoka Mourinho alipeleka ofa paundi mil 30 Moyes akaipiga chini kumbuka Moyes ndio alimpa nafasi Wazza akiwa Everton akiwa chipukizi alivyotua United alimhakikishia yeye ndio atakuwa striker no 9 RVP akaanza kupigwa benchi
 
Na hayo mambo ya kuparty party huyo lukaku ayapunguze.

MU is decent club, asipokuwa makini atakatwa.
 
Bado tunahitaji mshambuliaji wa aina ya Aguero,mshambuliaji asiye mzito mzito! Lukaku ni mzito!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…