Walituazima Rooney sasa tunawarudishia... Wametupa tena Lukaku... Duuuuuuuh... Mungu wabariki Everton wasishuke daraja...Na wasijali Baada ya miaka 8 tunawarudishia tena... GGMU
Wakuu ombeni watu watupie link za group au ulizeni kama kuna admin ili mmpe number pm,naona kama kuexpose number hapa haijakaa fresh.Ni maoni yangu tu lakini.