Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourhnio hizi ndo zake kuna wakati Manutd walitaka kumsajili Fabregas akatuzidi kete na sasa historia imejirudia kwa Conte na Chelsea yake

 
Musimu uliopita timu ndogo zilitutesa sana na Lukaku aliwafunga goli 21 kati ya 25 alizozifunga na huu sasa ndiyo muarobaini wa ubingwa musimu ujao

 
Mkuu unafkiri lukaku anaweza kuendana na mfumo wetu?je ni sahih kununuliwa kwa nzigo mkubwa ivo Wa pesa?
Mabao dhidi ya ten bottom teams ndiyo siri ya ushindi na Lukaku musimu uliopita aliwafunga 17 tukiyapata hayo kwa hizo timu ubingwa tunao

Soko ni chafu sana kwa hiyo bei sawa tu
 
Mapenzi yangu makubwa niliona mwarobain Wa hili ni fundi alivaro morata anaendana na kila mfumo ambao mou ataamua kuutumia pia ni bora hata piere aubaneyang kuliko lukaku
Ni mtazamo wangu tuu

Marongota
Anakuja sikilizia muziki wa Mourhnio

 
Habari nyumba hii, missing you all,hongereni wote kwa uchambuzi mzuri,wengine kwetu hiki kipindi ni kigumu sana maana unasikia huyu anakuja huyu haji basi mioyo kuripuka tu,malizeni usajili turudi dimbani August,muwe na wakati mwema wote.
 
Mapenzi yangu makubwa niliona mwarobain Wa hili ni fundi alivaro morata anaendana na kila mfumo ambao mou ataamua kuutumia pia ni bora hata piere aubaneyang kuliko lukaku
Ni mtazamo wangu tuu

Marongota
Mi moyo ulishatua kwa morata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…