Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Everton wanataka tulipe nusu ya hiyo mishahara
Rooney ili ahame United na kubaki England kitu cha kwanza lazima akubali kupunguza mshahara wake,hakuna team inayoweza kumlipa mshahara anaopata hapo United labda aende China,Rooney anaondoka moja kwa moja haendi kwa mkopo
 
Kama ni kweli Mourhnio kachemsha. Carrick hatarajiwi kucheza mechi nyingi musimu huu ndiyo maana tunasajili akina Matic na wengineo. Defensive midfielders

Carrick lazima apewe ucaptain ata kama hatocheza. Kama hatocheza mechi husika kitambaa atavaa msaidizi wake au mchezaji mwingine.
 
Jamani Mimi mbona sioni dalili zozote za timu yetu kusajili mchezaji wakati jumamosi ndo timu inaanza mazoezi rasmi.
 
Kama ni kweli Mourhnio kachemsha. Carrick hatarajiwi kucheza mechi nyingi musimu huu ndiyo maana tunasajili akina Matic na wengineo. Defensive midfielders
Carrick ni Nahodha msaidizi kwa sasa, Rooney akiondoka lazima apande hata kama atakuwa hachezi sana, hiyo ndo ilivyo kawaida wazoefu wa club lazma wapewe unahodha, na kumbuka manahodha wapo watatu, kuna Rooney, Carrick na Valencia kwa hyo hata rooney akiondoka lazma atatafutwa mwengine wa tatu kuziba pengo.
 
Jamani Mimi mbona sioni dalili zozote za timu yetu kusajili mchezaji wakati jumamosi ndo timu inaanza mazoezi rasmi.
Mwanangu timu zinatupandishia dau, Fikiria Morrata aliyekuwa anasugua benchi Madrid leo wanataka kutuuzia kwa M 90 wapi na wapi, price na kiwango cha mtu haviendani kabisa. Lazma Edwoord atumie akili na subra bila kukurupuka, tusije tukanunua Magarasa kwa bei ya juu baadae tukaja kulalamika.
 
LUKAKU LATEST

Here's an update from our reporter James Cooper.

"Manchester United have got their number one target. I’m told the Wayne Rooney deal isn’t linked with this offer, although negotiations are going on between the clubs. Lukaku will have a medical in the next couple of days, which means he should be able to join up with the squad in America for pre-season. United report for training on Saturday and fly out on Sunday.

"This means United have ended their interest in Real Madrid striker Alvaro Morata."
 
Nakwambia lukaku atapasua tu anamiguvu na akili ila perez kafanya utoto kabisa morata kaa benchi januari tutatoa £ 30
mkuu huu usajili me naona km man wamepanick jamaa co mzuri kiivyo...angekuwa wamaana sn kipndi 2mekoma na morata chelsea wangeshambeba ! na km kwenye option huyu atakuwa alikuwa chagua la mwisho
 
mkuu huu usajili me naona km man wamepanick jamaa co mzuri kiivyo...angekuwa wamaana sn kipndi 2mekoma na morata chelsea wangeshambeba ! na km kwenye option huyu atakuwa alikuwa chagua la mwisho
Lukaku bonge la mchezaji....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…