Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Habar kutoka sky Italia zinasema inter wameweza kuraise fund 30 million zilizokua zinahitajika FFP hivyo hawatweza kumuuza tena Ivan peresic so nahisi ni muda wa kuangalia kwengine ikiwa dirisha la usajili linafunguliwa tarehe 1 julai hivo mou akitaka angalau wachezaji wote wawe kambini kabla ya kuelekea marekan kwenye tour 2017
Ni hayo tu nawasilisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…