Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
Soma alama za wakati. Mourhnio anatafuta kasi na umaliziaji wa uhakika labda atakuwa reserve.Fellaini tegemeo kikosi kijacho sahau kuuzwa AF jamaa anapiga sana mzgo
Mmoja kati yao lazima auzwe ni.mahitaji ya kuendesha kampuni kwa faida. Smalling ndiyo yuko hatihati kuishia zaidi ya Jones kwa sababu ya kuumia mara kwa maraIla msimu unaokuja tutaendelea kuwa nao. Baada ya hapo ndio future yao itakuwa decided.
Teh! Teh! Teh!Chezea papuch wewe[emoji39] [emoji39] [emoji39] [emoji39]
Fabinho na Morata ndiyo dili akiongezwa na Perisic watatukoma musimu ujaoIli kuimairisha kiungo bora fabinho atue ..fabinho ni mdogo just 23 ..na nguvu na speed pia ..ana pass nzur ..anaweza kucheza kama kiungo mkabaji na beki no 2 kama cover up ya valencia ..mm naona ndo litakua chaguo sahii kwa united
Kwa upande wa winger tukichukua persic itakua vzur. Atatosha kabisa
Foward akija morata ni vizur ..ila pia rooney umri umeenda itakua vzur tukichukua foward mwninge ila acwe wa bei kubwa ..
Mou ajitahid kumchezesha andreas perreira na subir sana kumuona akipiga kiungo pale
Verrati haondoki PSG kwa sasaKama Barcelona watamsajili Marco Veratti basi tumekosa midfielder wa nguvu sana