Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Mourinho hawez kufanya kosa alilofanya massimiliamo Alegri jana juve walikurupuka kumpanga higuain mtu mziyo kma yule nlijua hatafnya lolote.
Mou atasajili kiungo mzuri pale hope list yake ina watu weng wakiwamo bakayoko,dier ila weng wamemsahau verrati japo mou anapenda tall midfielders..
Mim binafsi natabiri tutamchukua Morata kwaajili ya no 9 lindelof atasaidiana na Bailly winga pale tunalist yetu kama tukimkoxa petisic bas dougras Costa atahusishwa kuja na anaweza kuja
Utabiri wang pale Madrid safar hii tunachukua 2 varane hawez kuja now anapata namba pale kumsaidia Ramos so tutasajili morata Rodriguez o morata bale.Nimemtaja bale kwakuwa Man utd tumedhamiria kuleta jina kubwa kwaajili ya mambo ya kibiashara na kuunda kikox cha nguvu so tumemkosa griezzman tunambadala wake ambae ni bale Monaco tutasajili 1 tu hope bakayoko o Mendy+asipoenda city)
 
Maneno meeeengi duuh ! Mlichukua ubingwa wa epl sasa? Hilo super cup inakupa jeuri nini?
Kwanza mlioongea saaana kuhusu ukuta wa juv ,jana mmejifunza nini? Mou mwenyewe alivyokuwa Real mwenyewe alishindwa hata kufika fainal
 
Kwa kauli ya mourinho baada siku alipochukua Europa cup,kuwa he is still nobody at OT,anaonyesha dhamira yake kuwa anataka kufanya kitu cha kukumbukwa akiwa na red devils. Kupata nafasi ya kucheza super cup dhidi ya klabu yake ya zamani,mabingwa wapya wa uefa,timu inayodhaniwa kuwa kwenye kilele cha ubora wao,hawezi kupoteza nafasi ya kuudhihirishia ulimwengu kwamba yeye ni SPECIAL ONE.
Atajaribu kuwa onyesha Madrid kuwa he is still special as before.
Itakua fainali tamu kuliko hata fainali ya uefa. Tuombe uzima tu.
 
Mkuu Rutashubanyuma,testimonial ya pass master Carrick ni muda gani? Au yeyote mwenye kufahamu hili
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…