Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nina uhakika mkuu hesabu o level ulipata 0 kama ulisomaga lakini
 
Overall kwa msimu wa 2016-2017 tumepata pesa nyingi kushinda kikombe chako cha EPL
sijaongelea overall mkuu, yaan ni kwamba hilo kombe ni la mbuzi........ yaani thaman yake ni sawa alieshika nafas y 7 EPL.
 
shallow minded fun
 

28.5+27=55.5. Wazazi wako wana kazi. Hapa bado sijajumlisha tv rights money
 
Mourinho alivyokuja watu walisema ndio mwisho wa Rashford,kwa alionao Rashford anapaswa kuwa back-up striker na kinachomsaidia ni kwamba anaweza kucheza kama winga
Ngoja tuone usajili utakuwaje. Ila inasemekana Mou anata wachezaji wa4 tu. Na pia nahisi kitendo cha kumjumuisha Morata ktk deal la De Gea ni kama kawaambia Madrid David is not for sale. Kamuwekea price tag ya milion 65,ila wakitegea na Morata watampata kwa milioni 21.

Wakati Madrid wao wanasema value ya Morata ni milion 60.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…