Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,502
- 911,254
[URL="http://www.guardian.co.uk/football/manchester-united"]Manchester United
[/URL]have become the first club to top the £60m mark in earnings from Premier League prize money and TV cash.
United earned £60.4m as the new record overseas TV deals saw top-flight clubs bring in up to £7m more than last season.
Blackpool were the lowest earners of the Premier League but still made £39.1m, while Chelsea earned £57.7m, Manchester City £55.5m and Arsenal £56.2m.
The figures released by the Premier League also show that it has the smallest difference in earnings between the champions and the bottom club in terms of ratio of any major league in Europe.
Hahahaha hiyo ya JT kiboko!
Yule demu wa Rio si alipigwa mvua ya wiki 10! Rio anajifanya hamjui wakati walikuwa wanakula maisha pamoja Peckham!
Noma yenyewe ni kuwa huyo bibie alitamka mahakamani kuwa anajuana na mama yake Rio, Ila huyo dada chizi ata ningekuwa mimi ningemwekea restraining order ya nguvu, wewe unapiga miround trip kutoka London mpaka Cheshire (Manchester) kwenda kusimama getini kwa mtu utakuwa huna akili....ha ha ha, umeona eee? enzi hizo za baleghe hata Leeds United hawajamchukua!...jamaa sasa anang'ang'ania kuficha ma-skeleton kabatini lakini nayo yamemkomalia!
Ujana noma! Nyota inaweza kukung'aria maishani, halafu kikaibuka 'kigagula' ambacho kilikuwa kinakuweka mjini...utatamani ardhi ikufunike!
Mkuu Rutashubanyuma sio kuwa ni chuki lakini jaribu kufupisha hizi habari unazocopy na kupaste maana inatuwia vigumu sisi tunaotumia mobile phones.
Ryan Giggs na mkewe Stacey Giggs
Dada inayesemekana Giggs alimla uroda, Imogen Thomas
Hawa ni baadhi ya wadada ambao Giggs alishawahi kuwa na mahusiano nao kabla hajaoa
Ex marks the spot: Ryan Giggs had an intense romance with TV presenter Dani Behr (left) and dated former PR girl Caroline Stanbury
Mafanikio ya MAN UTD msimu ujao yatategemea sana kama huyu kipa mpya ni mahiri...vinginevyo maumivu tuyasubirie.............kipa anaweza kutengeneza point hadi 15 kwa kuzuia magoli na hivyo kuleta ushindi kwa msimu mmoja,......................
Habari za haraka nilizozifumania ni kuwa tumemsaini David De Gea kipa wa Atletico Madrid, nitaweka habari zaidi kadri ninavyozipata. On the other hand testimonial match ya Gary Neville inakaribia kuanza.