Angalia usifunguliwe mashitaka tu, gazeti la Sunday herald naona uvumilivu uliwashinda imogen that! Ila msela ameharibu sana hii ngoma itamcost knighthood kama alikuwa anaifikiria.'Imogen!', kumbe sakata lote la privacy laws ..."the player at the centre of Injuction" ni Mzee Mzima Ryan Giggsy!,...he he he...Utu uzima kazi na dawa!
Angalia usifunguliwe mashitaka tu, gazeti la Sunday herald naona uvumilivu uliwashinda imogen that! Ila msela ameharibu sana hii ngoma itamcost knighthood kama alikuwa anaifikiria.
Hii issue tulianza kuijadili kwenye mablog ya Man Utd mwanzoni mwa mwezi sema ndio hivyo hatukuweza kuiandika kwa sababu ya Super Injuction. Yule jamaa mmoja kwenye Twitter anajiita Injunction Super akamwaga mchele kwenye kuku wengi kawataja wote walioweka injunction naona baada ya hapo Giggs last week akaamua kuja na mkewe kwenye awards.
LOL, e bana eee...kwani wewe hujamsikia John Hemming (MP) wa Birmingham leo kwenye parlianment?
Mbona ipo all over Sky News tangu nane mchana (GMT)...sio siri tena bana. Atabakia na OBE yake, au watamnyang'anya? he he he...
I wish ingekuwa Makosi Musambasi,Ingenoga zaidi!
Giggs kala kizigo, akakimbilia mahakamani kuzuia magazeti yasiandike, mwanzoni mwa mwezi muungwana mmoja akamlipua kwenye twitter jana gazeti moja la Scotland likaweka picha yake na kuficha macho, leo mbunge kamtaja jina bungeni.Jaman hli sakata Veterani Ggs hata sijalielewa, naomba mnidadavulie zaidi.
Hii issue tulianza kuijadili kwenye mablog ya Man Utd mwanzoni mwa mwezi sema ndio hivyo hatukuweza kuiandika kwa sababu ya Super Injuction. Yule jamaa mmoja kwenye Twitter anajiita Injuction Super akamwaga mchele kwenye kuku wengi kawataja wote walioweka injuction naona baada ya hapo Giggs last week akaamua kuja na mkewe kwenye awards.
Ila Giggs playboy fulani miaka ya nyuma niliwahi kusoma story yake moja ya jinsi alivyokuwa anapanga wanadada, SAF sijui atamtosa weekend hii au ndio atamfumbia macho kwa sababu ni favorite player wake.
Angalia usifunguliwe mashitaka tu, gazeti la Sunday herald naona uvumilivu uliwashinda imogen that! Ila msela ameharibu sana hii ngoma itamcost knighthood kama alikuwa anaifikiria.
LOL, e bana eee...kwani wewe hujamsikia John Hemming (MP) wa Birmingham leo kwenye parlianment?
Mbona ipo all over Sky News tangu nane mchana (GMT)...sio siri tena bana. Atabakia na OBE yake, au watamnyang'anya? he he he...
I wish ingekuwa Makosi Musambasi,Ingenoga zaidi!
huyu mbunge nina wasi wasi anaweza kuwa ni chama la wengerGiggs kala kizigo, akakimbilia mahakamani kuzuia magazeti yasiandike, mwanzoni mwa mwezi muungwana mmoja akamlipua kwenye twitter jana gazeti moja la Scotland likaweka picha yake na kuficha macho, leo mbunge kamtaja jina bungeni.
Giggs kala kizigo, akakimbilia mahakamani kuzuia magazeti yasiandike, mwanzoni mwa mwezi muungwana mmoja akamlipua kwenye twitter jana gazeti moja la Scotland likaweka picha yake na kuficha macho, leo mbunge kamtaja jina bungeni.
Nimesoma sehemu watu wanadai huyo mbunge alipata mtoto nje ya ndoa.huyu mbunge nina wasi wasi anaweza kuwa ni chama la wenger
The Sun naona wameshikia bango hii issue kweli kweli, ila pamoja na kuwa katajwa na mbunge hii kitu bado iko in favors of Giggs maana aliweka Injunction ili "kuilinda familia yake from harassment" sasa kwa jinsi media ilivyomshupalia sidhani kama hii kitu itakuwa lifted anytime soon.Noma sana,...
SAF atakuwa hajamtendea haki yeye na Scholey kutocheza (their last) Final....
hata ikibidi, wachezeshwe last 2 mins!...
Skendeli kubwa hili, Uwanjani anatakiwa awe 100% focused...sasa 'IMOGEN' back in his mind
anafikiria kibano cha mkewe, wakwe zake, paparazi, et al?
Halafu Tabloids za Uingereza zikimkalia mtu kidedea aaahhh,...hili sakata litaendelea wiki nzima
unless palipukwe skendeli/tufani jingine kuzima soo... I feel for Giggsy aisee...
Ashley Cole for knighthood!!
huyu mbunge nina wasi wasi anaweza kuwa ni chama la wenger
Imogen mwenyewe anapanga safari ya kuja kupanda mlima Kilimanjaro...
Soma twitter yake hapa Twitter
@Imogen_Thomas
Imogen Thomas
Just having dinner with @dannidaly talking mount kilimanjaro and character building 🙂 over wine.....🙂 x
Sijui tumkaribishe???
Nimesoma sehemu watu wanadai huyo mbunge alipata mtoto nje ya ndoa.
Ijumaa haijafika mmeanza visa .... ... ....
'Carlo you are a fantastic man and you have showed great courage in coming to the dinner tonight, well done.'
....ha ha ha, JT for SaintHood!
...Nakwambia! Yule mlimbwende (Stalker) wa Rio Ferdinand sijui nae kaishia wapi!