Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Nilikuwa nina wasiwasi asingempanga Mata kuanza pengine Ajax wangeona mwezi lakini nionavyo ndoo ndani ya dakika 90 tunabeba
 
Pia chaguo lake la kwanza ni Bale ktk central defence na Blind lakini kwa vile kafungiwa basi ni kati ya Smalling na Jones
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…