Manchester United (Red Devils) | Special Thread

Shida ya timu yetu ikikutana na timu inayo weza kupress sana kuna uwezekano wa kupoteza. Kama kiroho kinaniuma vile. Kama Ajax wakikubali kucheza mpira wetu wamekwisha. Ila kocha wao keshasema they have their own way of playing.
 
Nasikia kuna ng`ombe katabiri ajax kushinda dah sitalala aisee tukifungwa.
Tangu lini Ng'ombe akawa mtabiri???? wanazinguwa hao waholanzi sina kumbu kumbu kamili ila ilikuwa ni game za World cup hao waholanzi walitumia Jogoo kutabiri na bado wakapigwa goli.
 
Jose Mourhnio rekodi yake ya fainali inatisha.

Kashinda 12 kati ya 15! Leo ni fainali ya 16 na atashinda kuiboresha zaidi.
 
Kwa wapenzi wa streaming live ziko option mbili.

Moja ni YouTube.com/BTSPORT

au BTSPORT via Mobdro app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…